lakini unaweza kuujua umri wake kutokana na harufu ya mwili wake. Bado kunatajwa, hakuna nadharia rasmi kuhusu hilo, lakini kuna utafiti unaothibitisha hayo kunusa ‘harufu’ ya mtu kubainisha umri wake ...
Wasiwasi ulionekana kwenye nyuso za kila mtu, siku ya Alhamisi, Januari 2, wakati ilipokuwa ikisikilizwa kesi ya mwanasiasa wa upinzani Aliou Bah kwa "matusi na kashfa" dhidi ya mkuu wa utawala wa ...
Hata hivyo, China inasalia nyuma ya Marekani na nchi nyingine katika suala la utoaji wa hewa chafu kwa kila mtu. "Mwaka 2024, wastani wa halijoto ya kitaifa ulikuwa nyuzi joto 10.92, nyuzi joto 1. ...
Jambo kubwa ambalo linashawishi wageni wengi wawe na mapenzi makubwa na Tanzania ni amani na utulivu tulionao unaofanya kila mtu ajisikie yupo nyumbani na aishi bila bughudha yoyote ikiwa anafuata ...
Anasema kuwa ni muhimu kuwa na mtazamo mzuri na kujua jinsi ya kukabiliana na watu wanaokosoa, kwani soka ni mchezo wa maoni na si kila mtu atakubaliana na wewe. KAMATI ya ndani ya Tanzania ya ...
Uganda. Marcus Abba anashtumiwa na baba yake mkubwa, Douglas Mayanja 'Weasel' ambaye pia ni mwanamuziki kwa kumkosoa baba yake mzazi, Jose Chameleone kutokana na mtindo wake wa maisha. Weasel ...
Ufuatiliwaji wa filamu hiyo kila mwaka umekuwa ukipelekea kuvuna mamilioni ya fedha, kutokana na maudhui yake kuendana na msimu huu. Home Alone ni filamu iliyotoka Novemba 16, 1990 huku lengo la ...
iliamua kusajili maarifa na ujuzi wa kitamaduni wa Japani wa kutengeneza sake na pombe zingine, kama vile shochu na awamori, katika orodha yake ya Urithi wa Kitamaduni Wenye Hadhi.