Moto wa nyika ambao umekuwa vigumu kudhibitiwa unateketeza sehemu za Los Angeles, na kusababisha vifo vya takriban watu watano, kuharibu mamia ya majumba, na kulazimisha zaidi ya watu 130,000 kukimbia ...