Wakizungumza baada ya kumalizika kwa mnada huo, viwanja vya Chama cha Msingi Mpapura ( AMCOS) wakulima hao walisema katika msimu huu zao hilo limekuwa na bei nzuri tofauti na misimu iliyopita. Ally ...
Anaelezea pia kuwa kuna lengo la kuwa na tume huru kwenye chaguzi za chama, itakayoundwa na watu wasio na upande miongoni mwa wagombea. Anasema kwa miaka 20 amekuwa kwenye Kamati Kuu ya CHADEMA, na ...
Lakini, mashabiki hao wa Simba watafurahia zaidi wakisikia kwamba kiungo Jean Charles Ahoua ametumia mechi 14 tu kumfikia na kumuacha aliyekuwa kiungo fundi wa wekundu hao, Clatous Chama kwa namba za ...
Kundi la kigaidi la Hayat Tahrir al-Sham (HTC), linalotambuliwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama kundi la kigaidi limeibuka kuwa jeshi kuu nchini Syria baada ya kuuangusha utawala wa ...
Ramovic pia alisema juzi, Yanga ilistahili kushinda kwa idadi kubwa ya mabao zaidi, kwani ilitengeneza nafasi nyingi hasa kipindi cha kwanza.. BAO pekee lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Jean ...
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imepitisha majina 50 ya wagombea watakaoingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi mbalimbali za uongozi wa kanda za ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Korea Kusini, Democratic kimewasilisha mswada wa pili wa kumwondoa madarakani Rais wa nchi hiyo Yoon Suk-yeol. Mswada huo uliowasilishwa jana Alhamisi mjini Seoul ...
Nchini Ghana, rais wa zamani John Dramani Mahama alipata ushindi mkubwa na kumaliza uongozi wa miaka minane wa chama tawala New Patriotic Party (NPP) chake rais Nana Akufo-Addo, anayeondoka ...
Kupunguza changamoto za wizi wa fedha – Wateja watapata suluhisho kwa malalamiko kama vile wizi wa fedha kupitia ATM au kadi za benki. Uimarishaji wa elimu kwa wateja – Mfumo utahimiza uelewa wa ...
ile nyumba ya Lumumba (ilipokuwa ofisi ya Chama Cha TANU) maana ilikuwa ya miti iliyojengwa ... kama ilivyoeleza ilani ya TANU. “Wakati huo Zaire nao walikuwa wakidai Uhuru, ambapo harakati za Wazaire ...
Kwenye uchaguzi wa mwaka 2019 uungwaji mkono wa chama tawala cha SWAPO ulishuka kwa asilimia 56 kutoka asilimia 87 za mwaka 2014. Ili kuchaguliwa kuwa Rais, mgombea anapaswa kupata zaidi ya ...