Wakati huohuo ripoti zinasema kwamba jeshi la Urusi limemkamata raia mmoja wa Uingereza aliyekuwa vitani bega kwa bega akivisaidia vikosi vya Ukraine katika jimbo la Kursk lililonyakuliwa kwa muda ...
Baada ya kutokea kwa ajali hiyo, askari huyo alipelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi, wakati akiendelea kupatiwa matibabu alifariki dunia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Mokas ...
Dar es Salaam. Leo Novemba 16, 2024 wakazi wa Kariakoo wameshtushwa na tukio la kuanguka kwa jengo lenye ghorofa nne. Ajali hiyo imesababisha hofu kubwa, huku mamia ya watu wakiendelea kukusanyika ...
Kurudi kwa Donald Trump ikulu kunatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika sera za mambo ya Nje za Marekani katika maeneo mengi nyeti, huku vita na wasiwasi vikiwa vinaikumbua dunia. Wakati wa ...