Mfano wa maajabu ni kuhama kwa nyumbu kutoka mbuga ya Serengeti kuelekea nchi jirani ya Kenya kwenye hifadhi ya Maasai Mara wakati wa kupata mimba, lakini pia hurudi na kuzalia Serengeti. Pamoja na ...