Lakini hii pia inakuja na matarajio mengi. Huu ni wakati wa kujenga upya kila kitu kilichoharibiwa, ikiwa ni pamoja na kujenga upya heshima ya Wasyria wote. Tunahitaji kuhakikisha kuwa kuna kiti cha ...
Leo hii hebu tafakari kuhusu hili. Je unaweza kujua umri wa mtu uliyekaa karibu naye kwa kunusa harufu ya mwili wake? Mtu huyo anaweza kuwa hajajipuliza marashi lakini unaweza kujua umri wake ...
lakini unaweza kuujua umri wake kutokana na harufu ya mwili wake. Bado kunatajwa, hakuna nadharia rasmi kuhusu hilo, lakini kuna utafiti unaothibitisha hayo kunusa ‘harufu’ ya mtu kubainisha umri wake ...
Baada ya yote, watu wengine wanaweza kujiepusha na pombe kwasababu ya shida zingine za kiafya. Uchunguzi zaidi ulijaribu kujua ikiwa divai nyekundu kweli humlinda mtu dhidi ya ugonjwa wa moyo.
Kiongozi mkubwa wa Kijiji chetu alifariki dunia, na tulipoenda kwenye maziko, ambapo kila mtu alisema sisi ni wachawi na tulikula moyo wake. Ni kauli ya Annabele, jina lake halisi limehifadhiwa kwa ...
kiuchumi na kijamii, mada yangu ya leo, ni ya kuwafundisha Watanzania uzalendo, ingekuwa ni zamani ningewafundisha waandishi wa habari, lakini ujio wa mitandao ya kijamii, sasa kila mtu ni mwandishi.
Mike Waltz aliyechaguliwa kuwa mshauri wa usalama wa taifa na Rais mteule wa Marekani Donald ... Waltz alisema: "Kila mtu anajua kwamba hili lazima liishe kwa njia fulani ya kidiplomasia.
Kipaumbele changu cha juu na cha kila mtu mwingine ni kufanya kila kitu katika uwezo wetu kulinda raia. Pepo hizi zinapokaribia, wazima moto katika Jiji la Los Angeles na wale katika kaunti ...
Sijisifii, ila ni mzuri wa sura, umbo la kuvutia na nina kazi nzuri inayonipatia kipato cha kukidhi mahitaji yangu na kusaza. Pia sijifichi ndani kama utumbo, najua kujichanganya kwenye kupoteza ...
"Ninaomba tena kila mtu kuwa mtulivu na ninahakikisha kwamba serikali, hadi serikali mpya itakapochukua madaraka, itasalia kuhamasishwa kufanya kazi yake," amehimiza Bw. Trovoada. Sao Tome na ...
Jambo kubwa ambalo linashawishi wageni wengi wawe na mapenzi makubwa na Tanzania ni amani na utulivu tulionao unaofanya kila mtu ajisikie yupo nyumbani na aishi bila bughudha yoyote ikiwa anafuata ...