Lakini hii pia inakuja na matarajio mengi. Huu ni wakati wa kujenga upya kila kitu kilichoharibiwa, ikiwa ni pamoja na kujenga upya heshima ya Wasyria wote. Tunahitaji kuhakikisha kuwa kuna kiti cha ...
lakini unaweza kuujua umri wake kutokana na harufu ya mwili wake. Bado kunatajwa, hakuna nadharia rasmi kuhusu hilo, lakini kuna utafiti unaothibitisha hayo kunusa ‘harufu’ ya mtu kubainisha umri wake ...
Mike Waltz aliyechaguliwa kuwa mshauri wa usalama wa taifa na Rais mteule wa Marekani Donald ... Waltz alisema: "Kila mtu anajua kwamba hili lazima liishe kwa njia fulani ya kidiplomasia.
Kipaumbele changu cha juu na cha kila mtu mwingine ni kufanya kila kitu katika uwezo wetu kulinda raia. Pepo hizi zinapokaribia, wazima moto katika Jiji la Los Angeles na wale katika kaunti ...
Huo ndio ukweli." Mshambulizi wa zamani wa Arsenal na Uingereza Theo Walcott aliiambia BBC Sport: "Kila mtu ameshasema. Arsenal inahitaji mshambuliaji na itakuwa na matokeo tofauti kabisa." ...
Jaribu kuangalia mambo kwa mtazamo wa wenzako pia, siyo kila wakati kujiona uko sawa na wenzako ndio wanaokosea. Fahamu na ukubali kuwa haiwezekani kila mtu akubaliane na wewe mara zote, na usiruhusu ...
Mwingamno anaongeza kuwa kwa sasa, katika maeneo ya Kivukoni, amechukua hatua madhubuti kwa kuweka watu maalumu wanaofuatilia wachezesha upatu. "Mtu akipatikana, namkamata na kumpeleka kwa kila mtu ...