Si vibaya kukodi gari kwenda beach, lakini ni vibaya kukodi gari na kumtaka dereva aendeshe mwendo ambao si salama kwao na pia si salama kwenda huko na kufanya vitendo visivyofaa ukiwamo vya ngono.
Kuhusu gharama kubwa ya matibabu na kupendekeza kuwa serikali ije na mpango wa bima ya afya kwa wote. “Huduma za afya zinapaswa kuwa haki inayopatikana kwa kila mtu bila kujali hali yake ya kifedha.