Uwepo wa idara hii sio siri tena.Uwepo wao umethibitishwa katika nyaraka za chama cha kikomunisti cha China kwa miongo kadhaa,na idara hiyo ya China imekuwa jambo tata katika siku zilizopita.
Mchezo wa mpira wa miguu uliingia nchini baada ya Vita vya Kwanza vya Dunia, pale Waingereza walipotawala wakichukua nafasi ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Korea Kusini, Democratic kimewasilisha mswada wa pili wa kumwondoa madarakani Rais wa nchi hiyo Yoon Suk-yeol. Mswada huo uliowasilishwa jana Alhamisi mjini Seoul ...
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Shaaban Ali Othman akizungumza kuhusu hoja zilizotolewa na Chama Cha ACT Wazalendo kuhusu utoaji leseni za mafuta na gesi kisiwani humo. Unguja. Wakati ACT ...
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amekoleza moto katika mnyukano unaoendelea wa wanachama na wafuasi wa chama hicho. Hii ni baada ya kuchukua na kurejesha ...
Mgombea wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), Moza Ally, amesema endapo atashinda nafasi hiyo, atajitahidi kuwainua wanawake kiuchumi na ...
Nchini Ghana, rais wa zamani John Dramani Mahama alipata ushindi mkubwa na kumaliza uongozi wa miaka minane wa chama tawala New Patriotic Party (NPP) chake rais Nana Akufo-Addo, anayeondoka ...
Kuanguka kwa serikali inayoungwa mkono na Iran nchini Syria mwezi uliopita kulileta pigo kubwa kwa chama ... cha Wakurdi cha Iran, tawi la kikosi cha walinzi wa mapinduzi ambacho kinaongoza ...
“Hili ni mojawapo ya doa kubwa katika harakati za kudai mfumo bora wa uchaguzi, sisi sote ni mashahidi kwa namna CCM (Chama Cha Mapinduzi) imetukejeli mara nyingi kwa hoja kwamba vyama vyetu ni mali ...
Shule zilizofungwa zilikuwa na mwezi mmoja kurejea kwenye kiwango cha usalama. Lakini katika mkesha wa kuanza kwa mwaka wa masomo, hakuna mtu nchini Kenya anayejua ni shule ngapi za bweni zitaweza ...
WENYEVITI zaidi ya 20 wa mikoa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA ... Katika mazungumzo yake wakati wakimuomba Mbowe, wamesema miongoni mwa hoja walizozitaka za kumtaka mwenyekiti wao huyo ...
Kundi la kigaidi la Hayat Tahrir al-Sham (HTC), linalotambuliwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama kundi la kigaidi limeibuka kuwa jeshi kuu nchini Syria baada ya kuuangusha utawala wa ...