Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Shaaban Ali Othman akizungumza kuhusu hoja zilizotolewa na Chama Cha ACT Wazalendo kuhusu utoaji leseni za mafuta na gesi kisiwani humo. Unguja. Wakati ACT ...
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amekoleza moto katika mnyukano unaoendelea wa wanachama na wafuasi wa chama hicho. Hii ni baada ya kuchukua na kurejesha ...
Mgombea wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), Moza Ally, amesema endapo atashinda nafasi hiyo, atajitahidi kuwainua wanawake kiuchumi na ...
Kuanguka kwa serikali inayoungwa mkono na Iran nchini Syria mwezi uliopita kulileta pigo kubwa kwa chama ... cha Wakurdi cha Iran, tawi la kikosi cha walinzi wa mapinduzi ambacho kinaongoza ...
Reclaim your full access. Click below to renew. Malalamiko dhidi ya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024 hatimaye yamefikia hatua ya mahakamani, baada ya ...
Bw Lai, daktari aliyegeuka kuwa mwanasiasa, alishinda kinyang'anyiro cha urais mwezi Januari, na kupata muhula wa tatu ambao haujawahi kushuhudiwa kwa Chama chake cha Democratic Progressive (DPP).
Shule zilizofungwa zilikuwa na mwezi mmoja kurejea kwenye kiwango cha usalama. Lakini katika mkesha wa kuanza kwa mwaka wa masomo, hakuna mtu nchini Kenya anayejua ni shule ngapi za bweni zitaweza ...