Wakati huohuo ripoti zinasema kwamba jeshi la Urusi limemkamata raia mmoja wa Uingereza aliyekuwa vitani bega kwa bega akivisaidia vikosi vya Ukraine katika jimbo la Kursk lililonyakuliwa kwa muda ...
Baada ya kutokea kwa ajali hiyo, askari huyo alipelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi, wakati akiendelea kupatiwa matibabu alifariki dunia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Mokas ...