Chanzo cha picha, Kiambu county's Department of Health Services Hali ya huzuni ilitanda kijiji kimoja katika Bonde la Ufa nchini Kenya wiki iliyopita huku madaktari kadhaa wakijumuika na ...
Lakini katika usiku mrefu zaidi wa Assad, mshirika wake wa karibu amemwacha. Huenda huu ukawa mwaka mbaya zaidi kwa maslahi ya Iran tangu vita vyake vya umwagaji damu na Iraq katika miaka ya 1980.
Katika tukio la kwanza, Jeshi la mkoani Mara linamshikilia, Gesoreka Mabula (30), mkazi wa Kijiji cha Mesega, wilayani Serengeti, kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi kwa kumchinja kisa ugomvi wa ...
Mzozo wa Mashariki ya Kati ukizidi kupamba moto, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jioni hii kwa saa za New York, Marekani linatazamiwa kupiga kura ya kutaka kusitisha mapigano huko Gaza. Wanawake Siku ...
Alisema hali hiyo imebainika kutokana na utafiti walioufanya ambako walibaini wajomba kuwaingilia kwa nguvu kingono watoto wa dada zao, endapo wakibainika wanamaliza kimya kimya. Kwela alisema ...
Hili linawahusu hasa watu wenye kisukari, ambao wana hatari ya kuathirika kutokana na habari zisizo za kweli zinazozungumzwa mtandaoni. Taarifa potofu kuhusu kisukari zinaweza kuwa na madhara makubwa ...
Picha na Beldina Nyakeke Musoma. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Evans Mtambi ameuagiza uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere mkoani humo kukaa na idara ya ustawi wa jamii kupanga namna ...