Maelezo ya video, Kijiji cha mbali kilichopoteza watu 40 Mandera, Kenya 18 Novemba 2016 Kenya inapokabiliana na mashambulio ya kigaidi ya mara kwa mara, kuna kijiji kimoja kati kati mwa nchi hiyo ...
Kulikuwa na kihoja wakati wa makabiliano kati ya wakaazi na wapiganaji wa al-Shabab katika eneo la Kutulo kaunti ya Mandera. Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya takriban wapiganaji ...